Nguvu Zetu

Uhakika

Utendaji

Uaminifu

Ubora

Bidhaa Mpya

Chaneli ya TV

Karibu katika tovuti yetu ya Nyakitonto Youth For Development Tanzania

Katika tovuti yetu tarajia kupata taarifa nyingi zinazohusu na

Shughuli za shirika kwa ujumla,

  • Chaneli ya TV ya NYDT,
  • Kuweza kutumia kirahisi mfumo unaowaleta pamoja wanunuzi na wauzaji wa mazao ya kilimo na bidhaa za kilimo zilizoongezewa thamani
  • Kutana na wanunuzi na wauzaji bila gharama yoyote, inagharimu kujisajili na kuingia tu.
  • Pata kutambua mahitaji ya masoko mahali popote katika Afrika Mashariki na ujaribu bahati yako
  • Waweza kubadilishana mawazo nasi
  • Asasi ya Nyakitonto ndilo jibu kwa mashaka yako kuhusu ujasiliamali katika kilimo biashara !!!!

    Shuhuda

    avatar

    Christopher Kikoti
    2019-01-14 13:57:04

    avatar

    Jon Doe
    2018-10-23 20:42:29

    avatar

    Jane Doe
    2018-10-22 11:17:32

    Washirika Wetu